Kusaidia watoto na watu wazima wenye ulemavu vijijini
Watoto waliopata msaada
Vifaa vya msaada vilivyogawiwa
Ushirikiano na kliniki
CAVITRD ni shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na huduma za afya, elimu na uhamasishaji kwa watoto na watu wazima wenye matatizo ya kuzaliwa nayo au ya baadae. Tunajikita kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Kwa taarifa zaidi au kushirikiana nasi: info@cavitrd.org